Ugavi
Ugavi
Kitengo hiki kinatoa huduma za kitaalamu katika ununuzi, uhifadhi, na usambazaji wa bidhaa na huduma kwa Taasisi. Majukumu yake ni pamoja na kushauri uongozi kuhusu masuala ya ununuzi, kuhakikisha uzingatiaji wa Sheria ya Ununuzi wa Umma, kuandaa mipango ya ununuzi ya kila mwaka, na kusimamia upatikanaji na matengenezo ya bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya usambazaji wa Taasisi.