Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara Ya Kilimo

TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO TANZANIA

Planning Monitoring and Evaluation

Kitengo hiki kinawajibika kwa kuratibu uandaaji, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya mipango na bajeti za Taasisi. Kinaongoza uandaaji wa hotuba za bajeti na ripoti za mwaka za kiuchumi, kufanya tathmini binafsi na tafiti za utoaji huduma, pamoja na kuandaa taarifa za tathmini ya utendaji kwa nyakati mbalimbali. Vilevile, kitengo hiki huhakikisha kuwa mipango na bajeti za Taasisi zinalingana na mchakato wa upangaji bajeti wa Serikali.