USINDIKAJI, LISHE NA MAPISHI YA VYAKULA MBALIMBALI VITOKANAVYO NA KUNDE
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Reports
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI)

Viini lishe katika kunde hupatikana kwenye majani pamoja na kunde zenyewe. Kunde hutoa viini lishe ambavyo havipatikani kwa wingi au kabisa katika mazao ya nafaka kama mahindi na mtama.