TUMIA KILIMO BORA CHA MTAMA UPATE MAVUNO MENGI
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Mkulima anapata mavuno kidogo ya mtama kutokana na sababu zifuatazao:-

  • Kutotumia mbegu bora na za muda mwafaka za mtama
  • Upungufu wa mvua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
  • Kupungua kwa mbolea katika mashamba ya wakulima
  • Mashambulizi ya mimea kutokana na gugu  chawi- kiduha, wadudu na magonjwa kama Fugwe