KILIMO BORA CHA MTAMA
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2020

Author(s) : Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania - Kituo cha Ilonga

Mtama  ni zao lenye uwezo mkubwa wa kustahimili ukame ukilinganisha na mazao mengine ya nafaka.Kutokana na sifa hiyo,mtama unafursa kubwa ya kuzalishwa kwa wingi zaidi kama zao la chakula kuziba nafasi ya mazao mengine ambayo yameathiriwa na ukame uonasababishwa na mabadidiliko ya tabia nchi.