KILIMO BORA CHA ALIZETI
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)-Kituo cha Ilonga

Alizeti ni zao muhimu la mafuta ambalo hutumiwa kama chakula  cha binadamu. Zao hili hulimwa katika Mikoa mingi hapa nchini.Hutumika kwa kutoa mafuta ya chakula, mashudu kwa ajili chakula cha mifugo na hutumika viwandani kutengeneza bidhaa nyingine nyingi.