WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO KITUONI TARI HOMBOLO. MAY 2024
- 5th June, 2024 14:57
- By FRANK.MBILINYI
- News
No Comments
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo wametembelea kituo cha utafiti cha TARI Hombolo wakiwa na lengo la kujifunza na kujionea kazi za utafiti na uzalishaji mbegu za mazao ya kilimo
Pili walitembelea na kupatiwa maelezo juu ya kazi mbali mbali za majaribio na uzalishaji mbegu za mazao ya kilimo, vilevile walipata nafasi ya kuuliza maswali na kupatiwa majibu ili kuongeza uelewa wa teknolojia mbali mbali zinazofanyiwa majaribio kituoni hapa.