IJUE MBEGU BORA YA SATO 9 YENYE MAVUNO MENGI
  • By NGABO.PAMBA
  • Banners
Publication Year : 2020

Author(s) : Fabiola Langa and Ngabo Pamba

This banner describes characteristics of the Salt-tolerant Rice Variety Bango hili linaonesha sifa mahususi zinazokusaidia kujua aina ya mbegu ya mpunga ya SATO9. Mbegu hii inafaa kwenye maeneo ya mabondeni au kwenye umwagiliaji yaliyoathirika na magadi-chumvi.