KILIMO MISITU
  • By FRANSIS.MASANJA
  • Brochures
Publication Year : 2020

Author(s) : TARI TUMBI

 KILIMO MISITU KWA KILIMO ENDELEVU NA UBORESHAJI MAISHA

KILIMO MISITU NI NINI?

Ni mfumo wa kilimo unaohusisha upandaji wa miti ,mazao na wanyama kwa lengo la kuongeza tija katika uzalishaji wa kilimo, utunzaji wa mazingira na kuboresha kipato cha mkulima na taifa kwa ujumla

FAIDA ZA KILIMO MISITU

Mkulima anaweza kufaidika na kilimo misitu kwa kumpatia mahitaji yake ya msingi

Kama yafuatayo:-

Miti kwa ajili ya kuni, mbao,  matunda, kurutubisha udongo, malisho ya mifugo, madawa asili kwa ajili ya tiba mbalmbali na hata usindikaji wa bidhaa mbalmbali zitokanazo na mazao ya misitu ( mfano, juice, mvinyo, jamu na asali). Hii kwa ujumla inaboresha upatikanaji na usalama wa chakula na kipato, inatunza vyanzo vya maji, kuleta kivuli,kuzuia upepo mkali