Mwongozo wa Kufundishia Kilimo Bora cha Mpunga
  • By NGABO.PAMBA
  • Manuals
Publication Year : 2016

Author(s) : Sophia Killenga, Charles Chuwa, Ndimubandi Mvukiye, Joel Zakayo, Ibrahim Paul and Didas Kimaro

Mwongozo huu ni muhimu katika mpango rasmi wa mafunzo unaohakikisha utaratibu wa aina moja wa kuwasilisha mada katika ufundishaji. Unaweka katika eneo moja ujuzi, hatua mbalimbali na taarifa zote muhimu zinazohitajika katika kutekeleza kazi zinazohitajika. Mwongozo huu unalenga kuendelea kuwajengea uwezo wadau wa kilimo katika mchakato endelevu wa kuongeza tija ya zao la mpunga kwenye maeneo au mazingira yao.